Kwahiyo Tanzania ilivyokuwa inaongoza kwa ushawishi hadi kutoa misaada kwa nchi za Afrika kipindi cha 1960's hadi 1970's nayo ilikuwa ni Super Power ?Ndiyo inayoongoza Ulaya kwa Sasa, ikisaidiana na Ufaransa
Ukiwa na ushawishi kwa masikini wenzio huwezi kuitwa superpowerKwahiyo Tanzania ilivyokuwa inaongoza kwa ushawishi hadi kutoa misaada kwa nchi za Afrika kipindi cha 1960's hadi 1970's nayo ilikuwa ni Super Power ?
Ustadh, kuna nchi ndogo za Ulaya zina ushawishi mkubwa hadi kwa mataifa makubwa ya dunia na kwenye taasisi za kimataifa lakini siyo Super Powers.Ukiwa na ushawishi kwa masikini wenzio huwezi kuitwa superpower
Africa yetu hii changamoto sana.Moja ya sababu ya Africa kuwa masikini ni kuwa na watu walio jaa fikra za kipumbavu kama ww.
Afrika ilikuwa na kipindi kirefu bila wapinzani (isipokuwa hao waliofungwa gerezani au kukimbia nje ya nchi zao) , hapa kuwa na vyama vingi maana kote chama kimoja pekee.Wapinzani wanachangia Africa kuwa maskini Kwasababu wanatumika na Mabeberu kuharibu Amani na utulivu wa Nchi za kiafrica
Sijakupata nukta yako msingi khasa, Asante kwa maoni yakoAfrika ilikuwa na kipindi kirefu bila wapinzani (isipokuwa hao waliofungwa gerezani au kukimbia nje ya nchi zao) , hapa kuwa na vyama vingi maana kote chama kimoja pekee.
Kumbe utulivu kama kaburini, hakuna aliyewasumbua watawala kuchota utajiri wa nchi na kuipeleka benki za nje.
Wakati wa uhuru Tanganyika ilikuwa na uchumi bora kushinda Malaysia, baada ya miaka 30 ya chama kimoja - nyuma kabisa.
Nikmajibu aliyesema "Wapinzani wanachangia Africa kuwa maskini ". Ambayo haina uthibitisho. Maana miaka kadhaa iliyopita nchi karibu zote za Africa zilitawaliwa na madikteta na mfumo wa chama 1, pasipo na upinzani. Kipindi kile kiliongeza umaskini barani.Sijakupata nukta yako msingi khasa, Asante kwa maoni yako
OkNikmajibu aliyesema "Wapinzani wanachangia Africa kuwa maskini ". Ambayo haina uthibitisho. Maana miaka kadhaa iliyopita nchi karibu zote za Africa zilitawaliwa na madikteta na mfumo wa chama 1, pasipo na upinzani. Kipindi kile kiliongeza umaskini barani.
Kama taifa lina watu wenye mawazo mgando hivyo ni lazima hata viongozi wake wawe wenye mawazo mgando maana,haiwezekani tukawa tunapata viongozi waliyo tofauti na sisi tulivyo.
Wapinzani wanachangia Africa kuwa maskini Kwasababu wanatumika na Mabeberu kuharibu Amani na utulivu wa Nchi za kiafrica
Democracy zitatugawa ichi maskini......mabebebru wanapitia vyama pinzani kutuendesha
Nchi kuendelea sio viongozi tu...hata wewe mwananchi.Kwa sababu nchi nyingi za kiafrica zina tawaliwa na viongozi wenye mawazo kama ya jiwe.
Thanks.Kama taifa lina watu wenye mawazo mgando hivyo ni lazima hata viongozi wake wawe wenye mawazo mgando maana,haiwezekani tukawa tunapata viongozi waliyo tofauti na sisi tulivyo.
Kama taifa lina watu wenye mawazo mgando hivyo ni lazima hata viongozi wake wawe wenye mawazo mgando maana,haiwezekani tukawa tunapata viongozi waliyo tofauti na sisi tulivyo.
Mimi nashangaa sana watu wanaangalia viongozi tu na kuacha kuangalia wananchi nao pia wakoje,haingii akilini kudai kwamba afrika nzima matatizo yetu ni viongozi tu kana kwamba hao viongozi huwa tunaletewa tu kusikojulikana lazima tukubali na sie wananchi ndiyo kwenye matatizo yanapoanzia.Nchi kuendelea sio viongozi tu...hata wewe mwananchi.
Kwani hawa viongozi wa kiafrika tunawatoa Jupiter? Si miongoni mwetu.
Mwananchi masikini kumuwajibisha hapa ni kumuoñea tu, Kwanza kura yake haina athari yeyote katika maamuziMimi nashangaa sana watu wanaangalia viongozi tu na kuacha kuangalia wananchi nao pia wakoje,haingii akilini kudai kwamba afrika nzima matatizo yetu ni viongozi tu kana kwamba hao viongozi huwa tunaletewa tu kusikojulikana lazima tukubali na sie wananchi ndiyo kwenye matatizo yanapoanzia.
Kwanza tunachokisema ni kwamba hawa viongozi wetu hutokea humu humu kwetu(wananchi maskini) na si kwamba huwa tunaletewa viongozi kutoka sayari nyengine bali ndio sie sie mimi na wewe.Mwananchi masikini kumuwajibisha hapa ni kumuoñea tu, Kwanza kura yake haina athari yeyote katika maamuzi
Namaanisha mtu hachaguliwi na Yale maigizo ya kupotezea watu muda ya kupiga kura Bali watu wachache kwa muongozo wa wakoloni huamua chama gani kitawale.Kwanza tunachokisema ni kwamba hawa viongozi wetu hutokea humu humu kwetu(wananchi maskini) na si kwamba huwa tunaletewa viongozi kutoka sayari nyengine bali ndio sie sie mimi na wewe.
Na unaposema kura ya mwananchi maskini haina athari unakuwa na maana gani?
Tatizo letu ni mfumo kandamizi wa kibepari ambao unatunyonya ukitumia mawakala wa wakoloni tunaoaminishwa kuwa eti tumewachagua wenyeweMimi nashangaa sana watu wanaangalia viongozi tu na kuacha kuangalia wananchi nao pia wakoje,haingii akilini kudai kwamba afrika nzima matatizo yetu ni viongozi tu kana kwamba hao viongozi huwa tunaletewa tu kusikojulikana lazima tukubali na sie wananchi ndiyo kwenye matatizo yanapoanzia.