Nimetoka kuongea nao sasa hivi ni kweli napata khofu hawa ni matapeli,
Eti wanadai decoder hakuna wakati jana wamesema tayari wamempa fundi na yuko njiani?
Nawasihi watanzania wenzangu kuwa na tahadhari na watoa huduma uchwara
Nawaambia basi rudisheni hela yangu wanasema no refund
Huu sio utapeli?