Ndiyo hicho kisicho eleweka, sasa mtu yupo nyumbani muda wote ni laptop, TV muda wa kuongea na mwenza hakuna wanakutana kitandani saa 5, na ukute shughuli yenyewe mbofu mbofu, malalamiko lazima yawepo, mwingine akifika kitandani dakika 2 nyingi anakoroma