Kuna watu mnajishaua tu hapa kujaza wenzenu ujinga!! Mtoa mada inaonekana huyo mtu wako hakuwa busy na Chochote,hivyo anapokuwa hana cha kumuweka busy ni lazima tu upweke wake ataamua aumalize kwako. Kama ni mtu ambae una future nae,mtafutie Kazi ya kufanya au biashara ambayo itamkeep busy hivyo hatakulalamikia tena!!,. Wanaokushauri kuwa Mwanamke haeleweki ni waongo! Mama zao walielewana vipi na baba zao??? Punguza Hasira,mrudie Mpendwa wako