Si kweli kuwa wanaume wote hawawezi kusema hapana............. tupo wanaume marijali tuu lakini tukiamua kusema no tunasema no, na wanaosema kuwa mwanaume rijali hawezi kusema no eti labda awe shoga si kweli, huko ni kujiendekeza tuu na kujishusha mpaka kufikia level ya mnyama asiye na utashi wala aibu. Its all in your brain, tusipende kujiendekeza na kujidanganya.