Kwani ukikosewa lazima uombwe msamaha na yule aliyekukosea?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,569
44,790
Kanuni ya msamaha ipoje maana kuna mtu nimemkosea sana nimemdhalilisha familia yake sasa kwa bahati nzuri au mbaya nilikuwa nimelewa kiasi cha kutojitambua na hivyo kusababisha kero.

Ila kiukweli sikumbuki hata niliyemkosea sura yake ananitangazia mbovu kitaa ananitafuta sasa shahidi wetu nimemtuma aniombee msamaha ila kumbe nimegundua kuna mazingira yamefanywa Ili nilipishwe pesa na mimi sina hela..nimemshindwa kum face japo nimeonyweshwa kwake kwa kuogopa Ila jamani pombe kuanzia Sasa nimeacha imenikataa.

Natamani jamaa ajue ninavyoumizwa na ulevi Ili anisamehe tu kiroho Safi tusionane kabisa na Wala mambo yasifike serikalini jamani mambo ya kutoa posho kwa police sio mchezo pamoto.
 
Pole mkuu

Sema kama Jamaa anakufahamu Kua ni cha pombe anaweza kukuelewa kirahisi ila jitahidi pia kumsikiliza anachotaka kuliko ikafika mbali ukatoa mkwanja polisi na kwa Jamaa
 
Back
Top Bottom