pauli jm
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 391
- 278
Ndugu zanguni njoni tuya jadili yakwetu kikwetukwetu,nina jiuliza tuu ivi tanzania tuna viji ugomvi vyaki dini kwa siri bila yaku ambiana kama ndio nikwanini tusi ambiane alafu yaishe??.maswali haya nina jiuliza kutokana na kwamba hai wezekani sisi soote tuwe wamoja alafu eti dini moja ikiwa ina kitu kama kiji sikukuu! Dini nyingine inakuwa hai itaki kheri dini nyingine mimi ninaona
kutakuwa kuna walakini sio bure,lakini kama kuna tuliyo
koseana ivi nikwanini tusi ambizane.
Mimi nimekuwa mpenzi waku sikiliza' redio iman' najana nili sikiliza kwamuda lakini siku baha tika kusikia neno hata moja laku watakia wenzao kheri ya siku kuu!
Nina jua yakuwa watu tuna weza kupuuza naku sema sio lazima au kusema vingine vyovyote.
Lakini hiki tuu kina weza kujenga uhasama kidogokido mwisho wasiku tuki shituka bomu lisha kuwa kubwa kwamba dini moja inaishi nadini nyingine kama wapo katika mataifa mbalimbali yaani yahuyu yana mhusuhuyu naya hawa yana wahusu hawa niivi ivi ambapo tuna weza kuji kuta hatu zikani hatuowani na wala hatu shirikiani kwa lolote. Mimi sitaki kuwa mtabiri wa mafarakano yetu bali nina taka kuu palilia umoja wetu.
Nina omba kama kuna lolote tulilo koseana basi tuambizane tuse ehane alafu yaishe.
Napia ina wezeka lamda muda nikiwa kanisani redio imani au tv wali pongeza hata kidogo ya mkini mimi siku sikia nipo teyari pia kusahihishwa.
Asanteni sana wapenzi wapendwa wa mungu.