Niliwatabiria 3 - 0! Bahati nzuri Kaizer Chiefs ni waelewa! Wakaongeza na kimoja zaidi.
4G!!!
Pole sanaKila timu inategemea ushindi,Simba pia tulitegemea kushinda hii mechi.
Tumezidiwa mbinu tukafungwa
Ahsante sana ila sijapoa bado kuna mechi ya kwa Mkapa hatoki mtu.Pole sana
Kila timu inategemea ushindi,Simba pia tulitegemea kushinda hii mechi.
Tumezidiwa mbinu tukafungwa
Sio kweli kwamba Simba wakicheza ligu ya South watashuka daraja.Kuna mmakonde mmoja hapa nilimwambia.. South ligi yao ni ngumu so wasitegemee urahisi wa aina yoyote.. Simba huyu aliyechukuwa VPL miaka mitatu mfululizo akienda ligi ya South ni kawaida sana kushuka Daraja
Hapana mfano wako wa malipo kwa wachezaji hauwendani na hii mechi ya leo.Mlisahau kuwa ligi ya Sauzi ni ligi ngumu sio kama ligi yetu iliyochanganyikana na siasa.Niliwaambia watu msiangalie Kaizer ipo nafasi yake , ukubwa wa timu hupimwa Na INVESTMENT yake. Mchezaji wa chini pale analipwa mil 20 . Je kuna mchezaji wa Simba anaelipwa Mil 20 ?
Wapi Air Manula!! Wapi Mropokaji Hajji Manara!! Wape salaaam!!Tulia Wewe,Uzi Wako na Mechi na Namungo umeukimbia mbio kule..... Hivi mna nini nyie Uto hii tabia Riadha mmeianza lini?
Sio kweli kwamba Simba wakicheza ligu ya South watashuka daraja.