"Wacheni hizo
acheni mambo hayo"
Rais Samia anaongea kama ni matroni wa bweni la shule, hajijui ni Rais wa nchi inayoendeshwa kisheria. Ukimkosoa anasema " wananilipa matusi." Hajui maana kamili ya kile kiti.
Tujifunze kuchuja watu tunaowafanya viongozi, si Mama au Baba yeyote tu kutoka popote ana uwezo wa kuwa Rais.