BillionaireMkubwa
Member
- Mar 4, 2018
- 28
- 23
Nimesikitishwa sana na kile kilichoandikwa na gazeti la Economist juu ya hali ya nchi yetu.
Nimesikitishwa tena baada ya kugundua kuna baadhi ya watanzania wamefurahishwa na kile kilichoandikwa.
Kiuhalisia tungeungana watanzania wote kulitaka gazeti hilo lituombe radhi.
Swali la kujiuliza hapa Je, ni lini wananchi wa mataifa ya Africa watakuwa na misimamo juu ya mataifa yao. Je ni kweli mataifa ya Africa ndiyo yenye viongozi tu wanaovunja haki za kibinadamu?
Natolea mfano China kumuongezea muda usio na ukomo raisi wao. Sijaona nchi inayokenua mdomo wake kuzungumzia hili. Lakini huku kwetu yanaonekana kama ugaidi.
Ningekuwa raisi wa Tanzania ningeyatimua mashirika yote ya habari kutoka nje hasa DW ambalo linaonekana kuchafua nchi yetu.
kwani yaliyo andikwa ni uongo???Nimesikitishwa sana na kile kilichoandikwa na gazeti la Economist juu ya hali ya nchi yetu.
Nimesikitishwa tena baada ya kugundua kuna baadhi ya watanzania wamefurahishwa na kile kilichoandikwa.
Kiuhalisia tungeungana watanzania wote kulitaka gazeti hilo lituombe radhi.
Swali la kujiuliza hapa Je, ni lini wananchi wa mataifa ya Africa watakuwa na misimamo juu ya mataifa yao. Je ni kweli mataifa ya Africa ndiyo yenye viongozi tu wanaovunja haki za kibinadamu?
Natolea mfano China kumuongezea muda usio na ukomo raisi wao. Sijaona nchi inayokenua mdomo wake kuzungumzia hili. Lakini huku kwetu yanaonekana kama ugaidi.
Ningekuwa raisi wa Tanzania ningeyatimua mashirika yote ya habari kutoka nje hasa DW ambalo linaonekana kuchafua nchi yetu.
Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuuKabisa umeandika mada unalinganisha China na Tanzania!!!!! Seriously, ushasikia chini wanatembeza bakuli!!! Hebu saa ingine tuwe serious kidogo tuuuu....
Sijui hapo. Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuukwani yaliyo andikwa ni uongo???
tuanzie hapo??
Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuucha uongo ni kipi kwenye ilo gazeti au ushachuku buku7 yako nawewe
Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuuKama hilo gazeti la Economist lingekuwa limeandika uongo ningeisimamia haki ya nchi yangu mpaka mwisho, lakini naona limeandika ukweli usio kuwa na shaka hivyo naona wapo sawa, labda wakiendelea kuandika ukweli viongozi wetu wa nchi wataweza kujitafari, sababu magazeti ya ndani yakiandika ukweli huwa yanafungiwa.
Ni kweli mkuu, Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuuunataka kuwa mbabe wakati Unasaidiwa na hao unaotaka kuwatimua kuwa mpole tu mkuu mpaka pale unapofikia hatua ya kujitegemea.
Mi sijui bwanaTunaungana 2604 ili watuombe radhi
lets be honest ndugu yangu kwnai ni uongo tumeshindwa kujitawala mpaka sasa??Sijui hapo. Sijapinga kukosolewa, nieleweke hivyo. Cha msingi hapa siyo kila mara ni Africa tu. Ndo hivyo mkuu