Salama....
Nawakumbusha tu wale vijana walioajiriwa na baadae kufutwa kazi....wajiulize kama na wao ni machinga? Maana kwa sasa tunashughurika na machinga tu.
Ikizidi sana na wachimbaji wa dogowadogo...hizi ndizo ajira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.