Kwani muda wa kustaafu jeshini miaka mingapi?

Inategemea na cheo chako wapo wanaostaafu miaka 45 au 50 na wengine wale wa juu hadi miaka 60.
 
Duh! Sasa kwanini anamdhalilisha mtumishi huyu wa umma? Kufanyakazi ya kukuingizia kipato halali cha 10,000 kama havunji sheria kuna kosa gani?
 
Huyo amestaafu kwa ugonjwa (ill-health retirement). Hii huwa haina umri maalumu kama ile ya age retirement-60 years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…