mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,412
- 5,151
Kufuatia muendelezo wa taharuki ya kisiasa nchini, makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo serikali yamejitokeza na kuonyesha misimamo Yao
Serikali wao wamesema wanataka amani, wananchi pamoja na maaskofu wote wanasimaa upende wa Haki.
Lakini mashekhee nyinyi humueleweki kama mnataka HAKI, AMANI AU UBWABWA/WALI /UBWECHE?