Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 May 27, 2012 #1 Watukufu wanajamii.Nikiwa peramiho,kuna watu wanatoka kanisani na wanaulizana swali hilo juu.Wanajamii, Imewahi kutokea?
Watukufu wanajamii.Nikiwa peramiho,kuna watu wanatoka kanisani na wanaulizana swali hilo juu.Wanajamii, Imewahi kutokea?
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,341 Reaction score 12,068 May 27, 2012 #2 Maisha magumu, watu tumechanganyikiwa!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 May 27, 2012 #3 Pastor Achachanda haujawaambia waumini kuwa siku ya ibada inaitwa ni siku gani mkuu.
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 May 27, 2012 #4 Umewafanyia mental assessment? Wanaweza wakawa wagonjwa wa akili au walevi.
M Mama Bhoke Member Joined May 4, 2012 Posts 40 Reaction score 6 May 27, 2012 #5 SIMBA WA TARANGA said: Umewafanyia mental assessment? Wanaweza wakawa wagonjwa wa akili au walevi. Click to expand... umesema sana mkuu
SIMBA WA TARANGA said: Umewafanyia mental assessment? Wanaweza wakawa wagonjwa wa akili au walevi. Click to expand... umesema sana mkuu