CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,257
- 12,875
hiyo tabia hata mimi sipendi, ila kama hutaki mtu akutext si umwambie? ukikaa tu kimya anaweza hisi labda unaumwa au uko busy so ataendelea kukutafuta, tatizo letu sie waafrika hatuwezi kumwambia mtu ukweli.
mmmh!...tumekusoma mama,kumbe sometimes huwa unajaziba hivyo,tusamehe bure kama maandiko yatakavyo tusamehane
ndio umeamua umuanike hapa?...ndio kanipigia not long kulalamika ati kuna mtu hajib sms zake wala hapokei simu!...
pole icho kiraka ulichopata kimekamata....RUBA
lakini kwa nini namba yako iwe hadharani kama ya voda huduma kwa wateja??
Mdada staha hata namba ya simu lol
toa namba kwa mambo ya kikazi na watu muhimu si matongozo.
Haya unampa mtu namba ya simu unategemea nini???
Balaa zingine twajitakia, Bishanga kupata namba yangu tu ya simu alipika pilau kwake.
asante kwa kunielewa!
hiyo tabia hata mimi sipendi, ila kama hutaki mtu akutext si umwambie? ukikaa tu kimya anaweza hisi labda unaumwa au uko busy so ataendelea kukutafuta, tatizo letu sie waafrika hatuwezi kumwambia mtu ukweli.
good!...jibu zuri sana,nilitaka kujibu hiv lakin nilichelewa kujua mleta mada alikua ana maana gan,ukizingatia hapa ni chitchat,ingekua kule kwenye habari na hoja ningejibu fastar hivi.mfano mi huwa nakawaida ya kumuweka mtu wazi,kua ananisumbua na kuninyima raha duniani na kuniongezea karaha,akizid huwa namblock au kumjibu mkato mfano OK au YES au STAY TUNE, au LOADING,lakni pengine kama ni salamu hamna shaka kwan salamu haigombi,..
yan nshamwambia bt hakomi tu!
kwan lazma kusalimianaa!
Utakosa ishu za maana kwa kukataa kupokea simu.
We Kongosho wewe,unajishaua sio? Aliyeanza kuomba namba ya mwenzie nani,sio wewe?lakini kwa nini namba yako iwe hadharani kama ya voda huduma kwa wateja??