Na wanapendeza kweli, honestly huwa natamani kufanya hivyo pia ila hapana aseeeSiku hizi kuweka contact lens na kubandika kope imekuwa habari ya mjini. Ni wadada wachache sana ambao hawafuati trend hii.
Ila sasa jamani dada zangu mnapobandikwa vibaya kope huwa hamuoni? Shida ni kukosa wataalamu wa kazi hizi au mnafanya kwa bei chee? Kiukweli muda mwingine unatamani kuuliza mtu amekumbwa na nini usoni ila ndo hivyo tena sio kazi yako.
Macho ni sehemu sensitive sana jamani na inahitaji umakini mkubwa. Kuna urembo wa kuacha tu upite usilazimishe kufanya kila kitu utajikuta unapofuka bure.
Kuna wengine wanapendeza lakini π
Kabisaaa.Wengine acha tu tubaki nyumaππ
Mwanamke akiingia kwenye salon hizo akitoka huwezi kumjua, macho yanakua kama ya paka, nyusi zimetindwa na kupakwa wanja wa "mbona huntongozi", kope hizo sasa dah! Amakweli ukitaka uzuri sharti udhurikeMacho yanakuwaga kama ya mdoli kila saa yanacheza cheza.
Waweke wenye kuweza mimi hapana kwa kweli.
ππππMwanamke akiingia kwenye salon hizo akitoka huwezi kumjua, macho yanakua kama ya paka, nyusi zimetindwa na kupakwa wanja wa "mbona huntongozi", kope hizo sasa dah! Amakweli ukitaka uzuri sharti udhurike