NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,314
Mh nimeanzisha thread ya "jf forerver thread" cjaona ubaya wake na cjui imeenda wapi .
Mie kila cku nikifungua jf kunathread moja ambayo inapost nyingi hadi nashindwa kuifungua na kila cku inaongezewa na mtu anayepost kutwa ni huyo aliyeianzisha.
na kichwa chake ni current usipo angalia utadhani imeanzishwa leo.
Swali langu je hii post unaweza pata mtirirko au inasomekaje?