Boyfriend15
Member
- Jul 22, 2022
- 45
- 101
Nawasilisha kwenu mabosi na wafanyakazi mliopo maofisini
Mimi ni kijana nina miaka 23 mzaliwa wa mbeya lakini kwa sasa ni mkazi wa dar es salaam
nina degree ya ACCOUNTING AND FINANCE IN BUSINESS SECTOR niliopita chuo kikuu Mzumbe mwaka 2023
Pia nina experience kidogo ya sales na cashier(supermarket)
Nina ujuzi wa mifumo mbalimbali ya uhasibu (Accounting packages) kwenye tally prime na quick book
Pia nina knowledge ya computer application (MS WORD, EXCEL)
Nina uwezo wa mambo yote ya kodi (FILLING SDL, PAYEE ,VAT & INCOME TAX)
Natafuta kazi yeyote au internship kwaajili ya kuongeza experience Naamini ninaweza nikaongeza kitu katika kampuni/taasisi
Jamani kama kuna nafasi sehemu naiomba hiyo fursa
Natanguliza shukrani zangu
NB. Kazi yeyote hata nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya
0621774403

Sasa kama kujitolea mnasema ni mtiti je, Akitaka kuwa employed kabisa?