Kwani aliomba akanyimwa?

Kwani aliomba akanyimwa?

Jamaa ----- kweli alikuwa anakaa naye muda wote huo na mpaka anafika geto alifikiri ni dada yake sio?
Acha wenye visu vikali wajilia nyama
 
Jamaa alikuwa karibu sana na demu kama miaka mitatu hivi ukaribu ambao tafsri yake kwa jamii ni wapenzi.
Sasa rafiki yake wa karibu kaomba game then kapewa...jamaa akanyaka huo mchezo,povu likamtoka na urafiki ukakoma
Demu naye kajua mzozo uliopo baina ya hawa marafiki wawili.

Sasa demu analalama, aulizwe kama kwa kipindi chote hicho tulichokua karibu alishawahi omba game nikamnyima? Anasisitize,nimeshinda naye mara nyingi getho kwke lakini hajawahi nitongoza sasa mwenzake kanitongoza nimempa,sasa anakuwa na wivu wa nini?

Ushauri
Ukiwa na demu karibu kama unampenda hakikisha unamtongoza, vinginevyo kama wewe domo zege, utabaki kuwa mshka pembe wakati wenzako wanakamua maziwa.

Matokeo ya uwongo hayo. Dume unajifanya demu wako kumbe mshkaji,masela wakila mzigo.Unalalama.
 
Ukienda kwa jirani sema shida yako mapema.... Kaja mwenzako kasema unalalama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom