Kwani aliomba akanyimwa?

Kwani aliomba akanyimwa?

Idhae

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
609
Reaction score
277
Jamaa alikuwa karibu sana na demu kama miaka mitatu hivi ukaribu ambao tafsri yake kwa jamii ni wapenzi.
Sasa rafiki yake wa karibu kaomba game then kapewa...jamaa akanyaka huo mchezo,povu likamtoka na urafiki ukakoma
Demu naye kajua mzozo uliopo baina ya hawa marafiki wawili.

Sasa demu analalama, aulizwe kama kwa kipindi chote hicho tulichokua karibu alishawahi omba game nikamnyima? Anasisitize,nimeshinda naye mara nyingi getho kwke lakini hajawahi nitongoza sasa mwenzake kanitongoza nimempa,sasa anakuwa na wivu wa nini?

Ushauri
Ukiwa na demu karibu kama unampenda hakikisha unamtongoza, vinginevyo kama wewe domo zege, utabaki kuwa mshka pembe wakati wenzako wanakamua maziwa.
 
Jamaa alikuwa karibu sana na demu kama miaka mitatu hivi...ukaribu ambao tafsri yake kwa jamii ni wapenzi
Sasa rafki yake wa karibu kaomba game then kapewa...jamaa akanyaka huo mchezo,povu likamtoka na urafiki ukakoma
Demu naye kajua mzozo uliopo baina ya hawa marafiki wawili

Sasa demu analalama, aulizwe kama kwa kipindi chote hicho tulichokua karibu alishawahi omba game nikamnyima? Anasisitize,nimeshinda naye mara nyingi getho kwke lakini hajawah nitongoza....sasa mwenzake kanitongoza nimempa,sasa anakuwa na wivu wa nini?

Ushauri
Ukiwa na demu karibu kama unampenda hakikisha unamtongoza, vinginevyo kama wewe domo zege, utabaki kuwa mshka pembe wakati wenzako wanakamua maziwa...

Mmmmh ngoja waje
 
Hahahahahaaaa kama mimi nimeambiwa hivyo nahama mtaa naenda kwa bibi
 
ukisikia simba kashikwa sharubu basi ndio kama hivi...
 
Kwa hasira na yeye aombe
na akishachovya azile/ashit km vile alikuwa hataki!
 
Hao wahusika wana umri gani? I guess ni wanafunzi wa sekondari
 
Udomo zege nao kazi sana...
Yeye alisubiri kutamkiwa?
 
Ye alijua wamekuwa wapenzi automatikale
 
Ye alijua wamekuwa wapenzi automatikale

Actually it was automatic kilichokuwa kinatakiwa tu ni kula tunda. Sasa demu anakuja hadi getto mko wawili tu na haumli tunda maana yake nini?

Huo siyo u domozege bali ni matatizo ya kutojua dunia inavyokwenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom