ndio maana ukajiita hivyo:
Kusema ukwe j, nasoma sana comments na post zako, we ni mtu muhimu na mahalumu sana jf,uliona na unazid kuona mbali, kwa cku ya leo na ucku huu, hii ndio post nilio vutiwa na kuipenda!
Maisha nikujifunza, fikiria leo hii mtu angekuletea video yako ya utoto ulvyo kuwa unaongea na ufananishe na leo.
Napenda kuheshimu sana michango ya watu yenye mitazamo tofauti.
Tu elimishane kwa njia hihii ili tuweze kuwa weka sawa wenzetu wapya watako kuja kwa lugha rahisi na isip na maudhi au kukatisha tamaa ili hii forumu indelee kusheshika.
Idumu JF,Udumu uwepo judgement!
NAWASILISHA.
Mimi nilichangia kwa muda mrefu kupitia ID ya mtu mngine, so nilipata time ya kufunzwa namna ya kuchangia na kujichanganya. By the time I joined nilikua na uzoefu mkubwa. But kuumbuka sio lazima uwe rookie, hata senior exxpert members wa 1000 posts plus wanaumbuka tu. 🙂
Bakulutu,
Nimefurahi kwa kuutambua uwepo wako hapa kwenye Uzi huu.
Nashukuru kwa mchango wako uliotulia .
Tukirejea semi zenye hekima na busara pia, kama vile
> Hata M'buyu ulianza kama Mchicha !
> Mwanzo wa hesabu ni 1 !
> Mwanzo wa ngoma ni lele !
Mi bado mshamba, mambo mengi siyajui humu. Najua kureply na kuanzisha threads. Yaliyobaki nafikiri sio ya muhimu sana.
Hata hayo yanatosha, coz ndiyo hasa ya muhimu, ingawaje naamini yako ya ziada unayoyafahamu. pia nimeutambua uwepo wako hapa kwa, kwa furaha.
Pamoja na hayo leo Dia umeniumbua ! Najisikiaje aibu ? Uso umenishuka has'sa !
Nini tena ?
Najua unajua kwa nini ?
Leo nalala veranda !
Bora adhabu ya Mbu !
Kuliko ile ya Bakhresa !
Leo waache wanitafune, asubuhi ntaamkia Amana .
M
Naskia mapigo ya moyo yamebadili muelekeo !
Nahisi kama moyo unataka kusimama hivi !
plz usimame ukuelekeze mlango wa chumbani.