Kwangu mie Ushamba sio Ujinga !

I didnt face complications nyingi..Sema at first unakuta members wanapiga story hewa which sounds so real, made me wonder members wa jf wengi wanajuana nini?!
Slowly i adjusted and became a family... Lol!

Amy, nakuonea raha kwa kujoin kiulaiyni !
Bt sikubaliani na point ya kusema member wengi wanafahamiana. Navyojua wasiofahamina ndiyo wengi .
Na wanaujuana ni wachache mno .
 
Amy, nakuonea raha kwa kujoin kiulaiyni !
Bt sikubaliani na point ya kusema member wengi wanafahamiana. Navyojua wasiofahamina ndiyo wengi .
Na wanaujuana ni wachache mno .

Hapana judgement i meant nilidhani hivyo mwanzoni (kwamba wengi wanajuana).. But nikaja kujua that wasnt the case..
 
Hapana judgement i meant nilidhani hivyo mwanzoni (kwamba wengi wanajuana).. But nikaja kujua that wasnt the case..

Shem tuko pamoja! Mr nae kaamkaje ?
Au J'2 anauvutavuta bado ?
 
Back
Top Bottom