Alikiba aachia goma jipya linalokwenda kwa jina la joho tena

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Yule mkali wa bongo, mkali wa sauti king kiba, kaachia ngoma ambayo haitamwacha mtu salama ngoma inakwendwa kwa jina joho tena

Hii ngoma ni noma mazee naona simba mwaka huu watAkula nyasi kudadadek
LONDON BABY

 
Nasikitika kusema huu ndio mwanzo wa mwisho wa Ali. Nimesikia uchungu sana Mhenga anaporomoka katika fani.
 
Mtanzania anapopiga kampeni za Kenya na kujifanya anayajua yaliyofanywa na wagombea wa Kenya kuliko wakenya wenyewe :D:D:D:D:D.
 
Back
Top Bottom