Kwakweli upo umuhimu wa kuweka option ya kutambua gender ya mtu ktk profile

pongwer

Senior Member
Mar 19, 2015
174
26
asalam aleykhum........! pia bwana yesu asifiwe...napenda kuwasirisha hoja !

nahisi kuna umuhimu humu ndani ktk profile zetu kuwe na sehem yeny kuonyesha jinsia zetu,

majina pekee na picha zinachanganya sababu sababu muda mwingne inashangaza jembe linafuatwa "inbobo" na kuwa "seduced" ha ha ha ha dah!


NOTE:
WATU WANATONGOZANA WENYEWE KWA WENYEWE(hili tatizo !)

INATULAZIMU TUKOROMEANE INBOBO KWA LUGHA KALI TAFADHALI WAHUSIKA CHUKULIENI HILI KWA MTAZAMO THABITI !


"NAOMBA KUWASIRISHA HOJA.....PIA MUONGOZOO...."
 
ImageUploadedByJamiiForums1450846855.731484.jpg
 
Kama mie ID yng hii haieleweki kabisa kama ni ME au KE ni pasua kichwa
 
Back
Top Bottom