vichwa vya habari magazeti ya kesho.
MWANANCHI=acount ya mshana jr,yazua utata ndani ya Jf.
NIPASHE=mshana jr alitibua,apost katuni ilopigwa marufu.
UHURU=mshana jr wa jamiiforums kupandishwa kizimbani kwa kumchafua mkuu wa kaya.
TAZAMA TANZANIA=mshana jr achafua hali ya hewa.
IJUMAA=kizaazaa cha ibuka jamiiforums,member wa jf mshana jr aanza mwaka kwa kumchokoza baba mwenye nyumba.
Polisi nao waahidi kumpa dozi kama ya lipumba.
NYAKATI=mshana mshana mshana,soma alama za nyakati,futa katuni yako.
KISIWA=mshana jr shujaa,atoboa siri za mzee wa boma,ila ajipange kukabiliana sirikali.
MZALENDO=jf majanga matupu,mshana jr atimua vumbi.
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . .