bwana misosi sasa naimba NITOKE VIP
siku nyingi najiulizaaaa
endelea.....
Si bure unalako jambo....Hivi binadamu wa kawaida unapata wapi muda??kuandika ulichokiandika na mwisho ukakumbuka kuweka neno,MIA,MX,NALOG OFF!!Kwa ninavyojua siyo kwamba umetengeneza kama sign yako bali nilazima uandike kila unapoposit bandiko lolote!!Je hamuoni usumbufu??Kazi mnayo labda ni barehe mtaacha!mkikua!
Sasa wewe sindie unaetakiwa kupotezea ama? Maana huo ushauri nilikupa wewe alafu na wewe unamtupia Gango.Huyo niliyekuwekea kasema:
Potezea. . .
Hatuwezi wote tukafanana kifikra, kimatendo wala kiubunifu.
Sijakusoma hapo. .
Kinachokukera kinahusiana vipi na ulichobandika kuhusiana na mimi?
Wanaandika usoni kwako?