Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,949
- 4,426
Nimepiga simu huduma ya wateja kwenye makampuni mbalimbali hapa Tanzania. Ila niseme tu ukweli DSTV Tanzania kwa customer care wanaongoza. Yaani ukiwatafuta muda wowote wao wanapatikana. Sio makampuni mengine simu za customer care hazipatikani.
Kampuni nyingine baada ya mida ya kazi na upatikanaji wao ndo umeisha. Kwakweli DSTV mmenifurahisha sana!
Nimewahama baada ya kuhamisha mechi za Uefa kwenda kifurushi cha juu bila taarifaNimepiga simu huduma ya wateja kwenye makampuni mbalimbali hapa Tanzania. Ila niseme tu ukweli DSTV Tanzania kwa customer care wanaongoza. Yaani ukiwatafuta muda wowote wao wanapatikana. Sio makampuni mengine simu za customer care hazipatikani.
Kampuni nyingine baada ya mida ya kazi na upatikanaji wao ndo umeisha. Kwakweli DSTV mmenifurahisha sana!
Mbona nini iko fresh mkuu dish kako litakuwa kimeyumba fanya kucheck nguvu ya signa na picture quality.Dstv tangu jana ina stack
Tafuta pesa kijanaNimewahama baada ya kuhamisha mechi za Uefa kwenda kifurushi cha juu bila taarifa
Dstv tangu jana ina stack
Jana ndo ilikua noma ilikua inasumbua kichiziDstv tangu jana ina stack
Yeah 160 jana ilikua ina stack stack na signal zilikua vizur tuuJana esp channel 160 ila leo iko poa
Sure mkuu ...Jana ndo ilikua noma ilikua inasumbua kichizi
🤣🤣🤣 mkuu mimi niliwahi kulipia kifurushi kimakosa . Nilifanya malipo ya sh 190, 000 instead of 93, 000. Nikawacheki kirahisi sana kupitia simu ya mkononi . After 72hrs waliirudisha pesa yote na nikaanza process upya.Niliwahi piga simu azam akapokea mtoto, shit nikashusha dish nikauza nikafunga Dstv
Kurudisha Buku 5 tu uliyoituma kimakosa utakeshaa. Dstv kwakweli pale kuna Control system managementPiga simu halotel,customer care.utachoka