Kwako Yeriko Nyerere

Asee umejamba chumba jf inanuka uhalo wako. Ccm kazi kupiga makofi nakuzomea. Aina ya wabunge , mlinga, lusinde, prof, nk mnawapelekea mikataba wataelewa nn, kazi kuunga mkono hoja
 
Hivi nyie mnajijua hoja zenu zote mnazokuja nazo ni za kuchekesha kwani mnasababisha hata hata wasikuwa na vyama kuwashangaa yaani hakuna watu wenye weledi za kuchokoza mada kama ndiyo hivi kweli chama kili kufa na babu yetu Nyerere. Nakuuliza je miaka yote ya uhuru tumengozwa na chama gani kwanini mtia chama chenu aibu
 
Naomba kuambatanisha hapa maneno ya Mtemi Andrew Chenge maarufu kama Mzee wa Vijesenti. View attachment 515165
huyo bila shaka ni wale waliyoidhinisha viwango vya chini vya madini kwenye mchanga kwa container wakijua ni uongo kwa kupokea vijisenti. tatizo zaidi sio sheria ila ni ulaghai wa multinationals na ulaji rushwa wa vigogo serikalini.
 
Kwani tulikuwa matajiri?
 
Samahani mkuu unaweza kuwa na wabunge wazalendo waliopinga kuingiwa kwa mikataba ya aina hii kipindi hicho orodhesha hapo chini tujue ni wangapi waliipenda nchi yao toka kipindi hicho na sasa wanaungana na huyu mzalendo wa sasa
 
Samahani mkuu unaweza kuwa na wabunge wazalendo waliopinga kuingiwa kwa mikataba ya aina hii kipindi hicho orodhesha hapo chini tujue ni wangapi waliipenda nchi yao toka kipindi hicho na sasa wanaungana na huyu mzalendo wa sasa
Sisi hatukatai kuwa upinzani walikuwa mstali Wa mbele kupinga mikataba mibovu Ila sasa kichekeaho jpm analishughulikia swala mlilopigia kelele mda mtefu halafu hamtaki tena kesa hamtakuwa na kick tena. Hapo ndo watu wanashindwa kuwaelewa
 
Kushabikia haya yanayoendelea leo hii nchini inabidi kujitoa ufahamu. Ni vizuri tukawajua waliosababisha uhuni huu, wawajibishwe. Mbona wapo wanatanua tu huku mtaani. Mleta uzi Chikawe JR usijifanye chizi wataje wahuni waliosababisha upuuzi huu. Lowasa na Sumaye walikuwa sehemu ndogo ya waharifu hao, taja wengine unawajua.
 
Bunge wakati wanapitisha mikataba ya kutunyonya watanzania na kutuibia raslimali zetu lowassa ndiye alipiga kula ya ndio peke yake bungeni rais alikua wapi????, Je neno utanzania kwanza hawakulifikiria hao wabunge wa ccm wakati wanapiga kula ya NDIOOO kupitisha mikataba ya kinyonyaji, na kama kweli utanzania kwanza mbona mtu pekee aliyekua anaonyesha utanzania kwanza mlimwita mchochez!!,,

Acha porojo porojo zako,ccm 2020 out out out it's time to change the era in Tanzania, na dalili ndio hivi zinavyojionesha.
 
Sisi hatukatai kuwa upinzani walikuwa mstali Wa mbele kupinga mikataba mibovu Ila sasa kichekeaho jpm analishughulikia swala mlilopigia kelele mda mtefu halafu hamtaki tena kesa hamtakuwa na kick tena. Hapo ndo watu wanashindwa kuwaelewa
Hakuna mtanzania anayepinga ushughurikiwaji wa hili tatizo ila ni namna ya kulishughurikia ndo inapingwa kutokana na mikataba mliyotufunga nayo ninyi na hao wezi kiasi cha kuhatarisha kodi zetu
 
Sijaona cha maana ulichoandika zaid ya kumuita yerico mdogo wako
 
Umesema sawa kabisa Eng Nyahucho. Hawa wenzetu wanadhani wao ndiyo wazalendo na wananchi bora wa nchi; wengine ukishauri ama ukipinga wewe ni msaliti. Lakini CCM si ilikuwepo miaka hiyo yote... Mkapa alikuwa Rais na Mwenyekiti ndiye aliyepitisha mikataba mibovu Buzwagi Karamagi. CCM ikiwa na wabunge wengi walipiga makofi. Uzalendo huo uwe leo wakati mambo yameharibika? Lisu, Mnyika, Kafulila, Kabwe hawakusema hayo miaka ya Mkapa na Jakaya? Uzalendo ulikuwa wapi? Hivi leo tuseme kweli kabisa wewe Chikawe Jr na Lisu, Mnyika, Kabwe, Kafulila.. katika hilo nani mzalendo zaidi? Shiiida ni kukataa ushauri kisiasa sasa mambo yanapoharibika mnaanza kutafuta mchawi.. Tusubiri ya meli ya samaki ama yanayoendelea kumwandama Mubage. Mambo haya ya mikataba hayataki ubabe. Sababu simple.. huwezi kumfanyia ubabe mtu aliyekuzidi nguvu. Nguvu hapa kwa maana mbili; moja mwekezaji ana mkataba unamlinda lakini Pili anazo nguvu halisia za pesa (nguvu za kiuchumi) na nguvu za kijeshi. Kwani marekani aliingia Iraq kwa nini kumiliki uchumi wa Iraq. Makampuni haya ni ya Waingereza, Marekani, Wacanada.. hawawezi hao kutuvuruga? Mtasema mwoga, natetea wazungu, what ever huu ndiyo ukweli na "msema kweli ni mpenzi wa Mungu"
 
Acha story Maisha magumu
 
Hakuna mtanzania anayepinga ushughurikiwaji wa hili tatizo ila ni namna ya kulishughurikia ndo inapingwa kutokana na mikataba mliyotufunga nayo ninyi na hao wezi kiasi cha kuhatarisha kodi zetu
Kwa hiyo ulitaka rais aache waendelee kuiba na kupeleka mchanga nje wakati yeye huku anashughulikia mikataba. Sasa lipi zuri kushughulikia mikata huku ukiwa umezuia mchanga kwenda nje au kushughulia mikataba huku mchanga unaendelea kuwa exported!! Mi nachojua rais hataashia hapa ndo mana kuna time ya wanasheria na wachumi ambao watashauri what to do. Kama kuna mpinzani alikuwa affiliated na hawa majambazi itajulikana tu mana mnatumia nguvu nyingi sana kama mlivyotumia nguvu nyingi kumtetea mbowe eti analipa kodi ya bilcanas lakini baadae ikajulikana halipi mkabaki mmeinamisha vichwa
 
ulitegemea yericko amsifu polepole??? Yericko Huyuhuyu Tunayemfahamu Au Mwingine?? Yericko Huyuhuyu Aliyemtukana Na Kumchafua Sana Lowassa Akiwa CCM, leo anamlamba viatu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…