Kwako Umeme unawaka Sasa.

Kwako Umeme unawaka Sasa.

Nawaonea huruma wanaojiandaa na mitihani halafu umeme unakatika usiku kabla ya mtihani, mtihani unafanyika saa mbili asb, hosteli iko mbali na chumba cha mtihani- mpaka usafiri wa daladala. Mtafutano.
 
Ng'ombe hanenepeshwi siku ya mnada!
 
Sasa umerudi 2108HRS sijui utakatika tena au nizime KIBATARI
 
Back
Top Bottom