UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Of koz sina uhakika kama hili utalipokeaje, maana kuna maneno mtaani kuwa uliwahi kusema atakayebakia Mjini July mwaka huu ni kidume. Then, unapenda watu waishi kama mashetani.
Nikushauri tu kuwa hayo maneno ulibugi big time. Hayo maneno sio ya saizi ya kiongozi mkuu wa nchi. But, enewei tupotezee yaishe. Twende zetu kwenye mada.
Kwanza, kauli ya hapa kazi weka wazi ieleweka hapa kazi tu kufanya nini? Najua utasema kuchapa kazi, kuchapa kazi gani? Be precise and specific.
Sasa iwe "hapa kazi tu kujiajiri". Full stop. Kwa hio nchi inajua serikali inabeba ajenda ya kujiajiri. Watakuja na hoja ya ukosefu wa mitaji. Hapo ndipo napotaka kwenda hasa.
Fanya hivi. Anzisha kitu kinaitwa "rotational employment". Hii sijui kama ilishawahi kuwepo duniani lakini sio haba nao manyang'au wa kizungu wakajifunza toka kwetu.
Hii inafanya kazi hivi. Mosi, nchi ihamasishwe kuwa huu ni wakati wa kila mtanzania kuonya keki ya taifa lake. Usiweke siasa hapa. Sema kwa dhati kabisa. Watakulaje hio keki? Kwa kuanzisha rotational employment.
Kwamba, hakuna kitu kinaitwa ajira ya kudumu. Of koz kuna baadhi ya maeneo lazima hili liwepo lakini ni machache sana wala hayataadhiri rotational employment. Kila mwajiriwa hasa serikalini mwisho wa mkataba ni miaka 3 tu of which renewable tena kwa miaka 2 so jumla miaka 5. Hakuna kuzidi miaka 5 total hata iweje.
So, kila anayekwenda kuajiriwa serikali anapewa fursa ya kuajiriwa miaka 3 ili apate mtaji na aanzishe business.Akiahindwa kujipanga miaka 3 basi anapewa 2 last chance. Hawa wanaopata ajira za rotational wanapaswa wa save pesa waanzishe business na kuwaajiri watz wengine.
Kuna kazi chache sana zinahitaji huge experience and skills; nyingi ni experience na skills za kawaida tu. Sasa, nchi ina mark hizo categories halafu inaanza ku influx watu wakafanye kazi. Mfano bandarini, tra, mashirika ya umma yote ya umma, na kadhalika.
Aisee, kwa kufanya hv tunahitaji miaka 10 tu wazungu watatupa shikamoo maana kila mtz ataamka kama vile kapigwa vibao vya usoni.
Pili, kama una kazi unayoingiza kipato basi sahau kupangiwa majukumu mengine. Kwa mfano mtu kama Mchg Lwakatare asingepata fursa ya kuwa mbunge maana sources za income yake ni nzuri bali nafasi hio ampatie mtu mwingine. Maadam ana weledi na ujuzi unaohitajika.
Yaani one post one man. Wote tule keki ya Taifa hili.
Kwa msaada wa IT una track kila kitu kwenye hii rotational employment. Naamini ukifanya hv utakuwa umeamsha hii nchi iliyolala uzingizi wa pono!
Sitaki kuongelea ufanisi wa kiuchumi unaojengwa based on private sector maana nguvu yake haina mjadala. Muhimu purchasing power ikiwa mikononi mwa raia nchi inaneemeka sana. Sasa hv ligi ya VPL ingekuwa ndo bora Africa kwa jinsi watz tunavyopenda soka ila tunakwamishwa na purchasing power yetu maana ni ndogo sana.
Naomba kuwasilisha.