Kwako Prof Ndalichako

Kwako Prof Ndalichako

zimwilachi

Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
40
Reaction score
23
Nini hatima ya maisha ya hawa vijana waliokuwa wakisoma kozi hizi:

· Higher Diploma in Secondary Education (3yrs)

· Ordinary Diploma in Primary Education (3yrs)

· Laboratory technician

Hizi ni kozi mpya zilizoanzishwa na serikali ya awamu ya nne ya Mh Kikwete kupitia wizara ya elimu, kozi hizi zilianzishwa kwa malengo ya kuongeza ufanisi wa walimu nchini kwetu hatimae kuzalisha walimu ambao watakua na uwezo ndani na nje nchi na kupelekea kunyanyua hali ya elimu kwa ujumla nchini mwetu. Hakika waliandaliwa wataalamu kwa ajili ya kuandaa mitaala ya hizi kozi na wataalamu hao wakalipwa pesa nyingi za kodi za wananchi.

Mama Ndalichako bila kufanya utafiti wowote juu ya kozi hizi mpya ameingia madarakani na kuzifutilia mbali kwa madai kwamba hazitambui na hii yote imechangia na maamuzi ya kukurupuka na kutafuta sifa kutoka kwa mkuu wa nchi. Mbaya Zaidi amefuta kozi hizo bila kutoa muongozo ni nini kifanyike kwa wanafunzi waliokua wanasoma kozi hizo na ikumbukwe kuwa tayari kuna wanafunzi ambao walikuwa mwaka wa pili wakiwa wamebakiza mwaka mmoja kumaliza kozi.

Vijana wapo mtaani hawajui nini hatima ya maisha yao Waziri akipigiwa simu hapokei ama akipokea anatupia mpira kwa katibu mkuu ambaye naye akipigiwa hana majibu ya kueleweka Zaidi ya kuambiwa kuna mchakato unaendelea, ni mchakato gani huo unaoendea karibu mwezi wa tatu sasa tangu mtangaze kufuta kozi hizi. Vijana wapo nyumbani hata hawajui hatma ya maisha yao na kufikia hatua kushidwa hata kuwaeleza wazazi nini kinachoendelea.

Mama Ndalichako (Waziri mwenye dhamana) tunaomba kujua hatma ya maisha ya hawa vijana. Kama mambo magumu achia ngazi tuu Mama!

Serikali ya viwanda

Mawazo huru.
 
Uyo Mama unavyo msema ivyo

kuna wengine wanamsifia na kumpigia makofi

Life is not fair atheee
 
form 4 anasom dip then anarud kufundisha form 4 wenzake,, pia kn w2 wamesoma hyo dip in primary ed kwa kiswahl then wamedahiliwa UDSM wakimaliza wakafundishe sec,mfm huu ni mbovu bt wzr awatafutie namna hao ambao waliishadailiwa.
 
Watanzania bana kitu kama hujui ni bure uulize kwanza ndio uchangie. wanaosoma Higher Diploma ni tofauti kabisa na wale wa UDOM ndugu, Angalia reqiurement za kusoma Higher Diploma hapo, siku nyingine usiwe unakurupuka.
 
Attachments

  • hd.jpg
    hd.jpg
    61.7 KB · Views: 50
nmeona requirement! its ok kwa hyo higher dip, bt kwa hyo dip in primary iangaliwe upya otherwise waanzishe deg of edu in primary hili hy m2 aspecialize, kuliko m2 kusoma dip in primary kisha degree unaenda kusoma na w2 waliosoma dip in secondary au form 6,, hy m2 anakua hn platform nzr na atateseka.
 
Two principal passes in teaching subjects ndo nini? HIZO requirements for Higher Diploma kama ndivyo zilivyoandikwa basi hapo tena ni shida? Teaching subjects is a relative term. Masomo yakufundisha yapasa yafafanukiwe
 
kozi ya lab technician ameifuta
huyu mama huyu mwe! mwe! mwee...!!!

Nini hatima ya maisha ya hawa vijana waliokuwa wakisoma kozi hizi:

· Higher Diploma in Secondary Education (3yrs)

· Ordinary Diploma in Primary Education (3yrs)

· Laboratory technician

Hizi ni kozi mpya zilizoanzishwa na serikali ya awamu ya nne ya Mh Kikwete kupitia wizara ya elimu, kozi hizi zilianzishwa kwa malengo ya kuongeza ufanisi wa walimu nchini kwetu hatimae kuzalisha walimu ambao watakua na uwezo ndani na nje nchi na kupelekea kunyanyua hali ya elimu kwa ujumla nchini mwetu. Hakika waliandaliwa wataalamu kwa ajili ya kuandaa mitaala ya hizi kozi na wataalamu hao wakalipwa pesa nyingi za kodi za wananchi.

Mama Ndalichako bila kufanya utafiti wowote juu ya kozi hizi mpya ameingia madarakani na kuzifutilia mbali kwa madai kwamba hazitambui na hii yote imechangia na maamuzi ya kukurupuka na kutafuta sifa kutoka kwa mkuu wa nchi. Mbaya Zaidi amefuta kozi hizo bila kutoa muongozo ni nini kifanyike kwa wanafunzi waliokua wanasoma kozi hizo na ikumbukwe kuwa tayari kuna wanafunzi ambao walikuwa mwaka wa pili wakiwa wamebakiza mwaka mmoja kumaliza kozi.

Vijana wapo mtaani hawajui nini hatima ya maisha yao Waziri akipigiwa simu hapokei ama akipokea anatupia mpira kwa katibu mkuu ambaye naye akipigiwa hana majibu ya kueleweka Zaidi ya kuambiwa kuna mchakato unaendelea, ni mchakato gani huo unaoendea karibu mwezi wa tatu sasa tangu mtangaze kufuta kozi hizi. Vijana wapo nyumbani hata hawajui hatma ya maisha yao na kufikia hatua kushidwa hata kuwaeleza wazazi nini kinachoendelea.

Mama Ndalichako (Waziri mwenye dhamana) tunaomba kujua hatma ya maisha ya hawa vijana. Kama mambo magumu achia ngazi tuu Mama!

Serikali ya viwanda

Mawazo huru.
 
kapoteza mvuto kabisa tcu heslb ni vilio mwaka huu....
 
Back
Top Bottom