Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,400 Reaction score 465,217 Jun 4, 2018 #21 Sema kweli Horseshoe Arch said: Bado tu shanga na vikuku! Haki sawa! Click to expand...
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,491 Reaction score 8,305 Jun 4, 2018 #22 Hayo yote ni matokeo ya vyama vingi. Yasikushangaze.
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,792 Jun 4, 2018 #23 Shunie said: Sema kweli Click to expand... ndo kilichobaki, ukiona toto la kiume linasifiwa na wanaume watu wazima kwamba anakata kalio kama mama yake na yeye anazidi kulizungusha huku ukute kajaaliwa nundu unadhani kifuatacho ITV ni nini!
Shunie said: Sema kweli Click to expand... ndo kilichobaki, ukiona toto la kiume linasifiwa na wanaume watu wazima kwamba anakata kalio kama mama yake na yeye anazidi kulizungusha huku ukute kajaaliwa nundu unadhani kifuatacho ITV ni nini!
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,831 Reaction score 15,659 Jun 4, 2018 #24 Blueprint 9 said: Mkeo anakula chipsi nawe unakula chipsi Click to expand... Mke anaoga na wewe unaoga[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Blueprint 9 said: Mkeo anakula chipsi nawe unakula chipsi Click to expand... Mke anaoga na wewe unaoga[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,237 Jun 4, 2018 #25 mwanaume wa dar akila kuku wa kienyeji kutoka huku mkoani anang'ooka meno halafu ukiwatishia mende wanalia
mwanaume wa dar akila kuku wa kienyeji kutoka huku mkoani anang'ooka meno halafu ukiwatishia mende wanalia
Bradha JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 8,786 Reaction score 45,268 Jun 4, 2018 #26 gh hussa said: mwanaume wa dar akila kuku wa kienyeji kutoka huku mkoani anang'ooka meno halafu ukiwatishia mende wanalia Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] shambulio la aibu hili.
gh hussa said: mwanaume wa dar akila kuku wa kienyeji kutoka huku mkoani anang'ooka meno halafu ukiwatishia mende wanalia Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] shambulio la aibu hili.
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,836 Reaction score 4,152 Jun 4, 2018 #27 Vyamavingi said: Mkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele! Mnatudhalilisha. Vv Click to expand... Mkioana kwa hobby zinazofanana namna hii inapendeza
Vyamavingi said: Mkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele! Mnatudhalilisha. Vv Click to expand... Mkioana kwa hobby zinazofanana namna hii inapendeza
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,209 Reaction score 185,071 Jun 4, 2018 #28 ndomana kritika anawachambaga tu kwakweli Cc Smart911
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,128 Reaction score 195,888 Jun 5, 2018 #29 Inasikitisha sana... Cc: mahondaw
X-Agent JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,954 Reaction score 17,020 Jun 5, 2018 #30 Mkeo anatiwa mimba nawewe unataka kutiwa mimba .....@kwa hisani ya yule mwanaume aliyetaka kubeba mimba huku JF
Mkeo anatiwa mimba nawewe unataka kutiwa mimba .....@kwa hisani ya yule mwanaume aliyetaka kubeba mimba huku JF