Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,912
- 3,987
Nitoe salam za wana jf, kabla sijatoa ushauri kwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Meck Sadick mkuu naomba utekeleze yafuatayo, kumaliza kero za wananchi wa mkoa wako:
1. Kutatua mgogoro wa kncu, hii ni moja ya janga linalozidi kutafuna wananchi masikini hususani wakulima wa kahawa mkoani kilimanjaro,jambo la msingi ni kuvunja bodi ya kncu ambayo kwa muda mrefu imeshindwa kutatua kero na kufufua kilimo hiki.
2 Kutembelea masoko yote muhimu ya mkoa kuangalia jinsi wananchi masikini wakitozwa kodi zisizo na msingi.
3 Kupitia miradi yote iliyopo chini ya taasisi na mashirika ya umma ikiwemo nssf,nhc nk.
4 Kutoa tamko kwa walimu wote wakuu wa shule za sekondari kutekeleza wajibu wao wa wanafunzi kupata elimu bila kibaguliwa ikiwemo ukosefu wa madawati vijiji vya wilaya za mwanga na wilaya za mkoa.
5 Kufwatilia uhalali wa ununuzi wa eneo la makaburi mapya la manispaa ya moshi lililopo wilaya ya moshi vijijini katika kijiji cha mtakuja
Ni hayo machache ambayo ni kikwazo kwa ustawi wa maendeleo ya mkoa wa kilimanjaro , kuwsababisha wadau mbalimbali kukata tamaa