Kwako mkurugenzi wa PCCB

Halafu huu ni ushamba kwenye mjadala kuweka kilugha
Ndio maana watu wasio wa kabila hilo wakihamishiwa kikazi huko Kagera hua mpk wanaacha kazi.

Majamaa washamba balaa full kujiongelesha/kukusengenya kwa kilugha chao hata sehemu zenye watu mchanganyiko.
 
Wenye akili nyingi tupo mtaani tukiandika ukweli kuhusu mama Tanzania watu wanaleta usnitch. Be real, don't pretend
 
Piga namba hizi 0800 780 078 bure au WhatsApp 0744 233 333
 
Acha kuwaharibia wenzio unga wew kwan hzo rushwa wanaziomba au mnawapa wenyewe msiwape tuone kama watawaomba hz rushwa.wenywe mnaomba mpate nafuu then mnawapa alafu mnasema wanawaomba achen unafki aiseee.

Kila mtu ale urefu wa kamba yake kasoma kapata Kaz wacha ale matunda yake mnasababisha mpka wengne wanajiua aisee.

Komaaa baba mwanaume asifiw umbea kwao, anasifiwa pesa tu komaaa acha majungu
 
Mtoa taarifa inaonekana either umegongewa pale the liquid or unashindana na huyo mtakukuru ila jua watu Wana mikopo usifanye mashindano na watu wanaopata mamikopo zaidi ya benki moja na wanavumilia maumivu au tupe majina yao hapa tuone ukweli upo wapi?
 
Na mie Sijui nampataje Ndalichako nimwambie uozo sehemu?
 
Mkubwa pole na kazi.
Napenda kukutaarifu kuwa kuna maofisa wako hapa mkoani Kagera ni wala rushwa.

Kupitia post hii tafadhali saidia jinsi kukufikishia majina yao bila mimi kujulikana.
Sio hao tu. Hata wasaidizi wake makao makuu ni tatizo. Ilipaswa Mlowola aondoke nao ili huyu wa sasa aanze moja.
 
Mbaya zaidi unaweza kuona anayemfungulia email boss na kumsomea au kuprint, ndiye aliyemfanyia mpango wa kazi mtuhumiwa, habari zinarudi Bukoba mnaanza kuwindana
Emails za 'info' wanapata wakuu wa idara woote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…