Kwako mkurugenzi wa PCCB

Kwako mkurugenzi wa PCCB

abagabo

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
155
Reaction score
168
Mkubwa pole na kazi.
Napenda kukutaarifu kuwa kuna maofisa wako hapa mkoani Kagera ni wala rushwa.

Kupitia post hii tafadhali saidia jinsi kukufikishia majina yao bila mimi kujulikana.
 
Mhe. Diwani Athumani sitanii na wala sina mchezo. Kuna vijana wako tabia yao imezidi. Lakini pia kwanini mtumishi anakaa kituo kimoja zaidi ya miaka 3 yaani hata anajulikana ni balaa. Kuna watu huku washajiona miungu watu. Nawafahamu kwa majina yao hadi nyumba wanazoishi. Mali wanazo miliki husipime. Nisaidie mzee nikupe orodha yao.
 
Ingia kwenye website Yap chukua email yao watumie! Hata akiwepo humu hawezi kukujibu hapa, Sana Sana watakuja hao watuhumiwa wajifanye ndiyo Diwani Kisha watake majina na hakuna lolote litakalo fanyika! Pccb wako active ukiwatafuta!

Mbaya zaidi unaweza kuona anayemfungulia email boss na kumsomea au kuprint, ndiye aliyemfanyia mpango wa kazi mtuhumiwa, habari zinarudi Bukoba mnaanza kuwindana
 
Aisee wanajipigia teni pasenti kama limbukeni alivyojipigia kwenye ndege ,kwani wao wajinga .
 
Mhe. Diwani Athumani sitanii na wala sina mchezo. Kuna vijana wako tabia yao imezidi. Lakini pia kwanini mtumishi anakaa kituo kimoja zaidi ya miaka 3 yaani hata anajulikana ni balaa. Kuna watu huku washajiona miungu watu. Nawafahamu kwa majina yao hadi nyumba wanazoishi. Mali wanazo miliki husipime. Nisaidie mzee nikupe orodha yao.
Mkuu kwa enzi hizi bado unaogopa kuandika ukweli? Weka majina hapa wenye ujasiri wayafikishe viinginevyo utaonekana unapiga majungu tu.
 
Back
Top Bottom