Nakushauri hii itakusaidia hata baadae, unatakiwa uingie katika mfumo wa school candidates, uonekane umefanya mtihani na umesoma kama school candidate, na sio unapeleka vyeti vya private seating form four 2015, f6 2016, nakuhakikishia hata kazi ya maana ni ngumu kupata,
yaonesha unao Uwezo ingia mfumo huo uwe na performance zinazoeleka.
Hii wengi wanafanya hawajui inawagarimu vipi