Kwako Mh. Ndalichako, Joyce.

wahanga tuko wengi ..nami nipo hapa udom mambo si mambo ...eeh Mungu tunusuru mafukara ...imefika time najutia kusoma kabisa bt nmeappeal uku nikisubiri hayo yaliyobaki ...Mungu ni mwema hakika atatenda ndugu tusikate tamaa.
 


Binafsi kuna vitu vinanitatiza kwenye hii taarifa yako. Umedai kuwa ukufanya mtihani wa kidato cha nne 2014 kwa kuwa mzazi alikuwa mgonjwa na hali ngumu ya maisha na wewe ndio ulikuwa unategemea. In between unao kaka watatu wamefariki kwa ajali. Hao kaka hawakuwa na mchango?

Secondly, uliamua kurudia mtihani 2014 February, ina maana ulifanya mtihani mwaka huo 2014 (CSEE) matokeo yalitoka January 2015, hayo ni matokeo ya form four siyo?

Hiyo form six ulisoma lini????, uliwezaje kufanya mtihani bila kusoma F6? huwezi kuona hii ndio sababu ya wewe kutopata mkopo? Hivyo vyuo vingi vinafanya biashara pia Zaidi ya kutoa elimu, yawezekanaje kuwa admitted chuo kikuu na history za shule hii, maana wakiangalia cheti cha form four 2010 (Hauna alama kwa maelezo yako) ukitumia hiki cha 2015, inaonesha wewe sasa unatakiwa uwepo form six yaani ufanye mtihani 2017, sasa mwenzetu unaenda chuo??
 

KWanza kuna mkanganyiko kwenye hiyo elimu, unategemea akikimbilia chuo kikuu kabla ya kupata msingi nyuma atasaidika? au ndio akimaliza tena tuanze kusema hapati kazi, nadhani yafaa tumshahuri asome kwanza katika mtiririko sahihi awe na msingi wa kutosha. walioweza elimu ya miaka 2 walikuwa na maana. kwa maelezo yake huyo kasoma lini F6???
 

Ndugu huenda hujanielewa, nimesema February 2014 nilisajili kurisit mtihani wa kidato cha nne, kabla ya necta mwaka huo huo kaka zangu watatu walipata ajali na kufariki. Wakati huo ni oktoba, novemba nilipaswa kufanya mtihani kulingana na nilikuwa nimeshasajiliwa, nilifanya mtihani huo na February 14, 2015 matokeo kidato cha nne yalitoka. Nimesoma mwaka mmoja form 5 na 6. Ni kipi hakijaeleweka? Kupata ajali kwa kaka zangu au mzee kupata strock?
 

Ahsante
 
ulisoma form six lini na muda gani. Hii ndio sababu ya wewe kutopata mkopo
 

Matokeo yametoka mwaka 2015 January ya form four uliyofanya October 2014 sio?
Haya baada ya matokeo yanakuqualify ulisoma lini form six na ukafanya mtihani na kupata matokeo, maana kama ulifanya mtihani ulifanya wa form six ni 2016, ni mwaka mmoja. Hizi elimu hizi zinatiliwa mashaka, na kuchanguliwa vyuo wanavyofanya biashara ni ngumu, ndio maana vyuo kama UDSM hawawezi kukupa nafasi
 

Sawa, unajua kilichonifanya nisome mwaka mmoja?
 
Nimesoma mwaka mmoja. Mbona wengine wamepata na the same qualifications?
Hii haipo, waliopata ni wale waliopo mtiririko wa kawaida 4+2 years of secondary school. Kaa ukijua pia first exams performance in Nguvu sana, husije tegemea kamwe mtu aliye na alama nzuri kwa first performance watakujudge nawe. Ndio maana matokeo yanatengwa kuwatofautisha. Hao wanaweza kupata kwa kuwa wamesoma miaka 2 form six na mtiririko wa elimu unajulikana
 

Ooh! Ahsante kwa maelezo yako.
 
Ooh! Ahsante kwa maelezo yako.
Nakushauri hii itakusaidia hata baadae, unatakiwa uingie katika mfumo wa school candidates, uonekane umefanya mtihani na umesoma kama school candidate, na sio unapeleka vyeti vya private seating form four 2015, f6 2016, nakuhakikishia hata kazi ya maana ni ngumu kupata,
yaonesha unao Uwezo ingia mfumo huo uwe na performance zinazoeleka.

Hii wengi wanafanya hawajui inawagarimu vipi
 
Pole waone bodi ukiwa supporting documents zote. Nadhani bado wako masasani.
 
Cc FaizaFoxy njoo msaidie nduguyo katika imani ili apate kile ambacho umekua ukikitetea kwa Watoto wa Kiislamu. Mtafutie hata transfer to Muslim University ili apate ufadhili huko.

Ahsante.
 
Kwa hyo ww braza hujawah kuona watu wanapiga form 5 na 6 kwa mwaka mmoja na mwisho wanapiga pepa kama PC? Watu kibao wanafanya hvyo kusave muda na pesa,,,, em pitia majina ya Udsm ya mwaka huu usipokutana na watu waliomaliza mwaka 2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…