Lakini wenzetu hasa ninyi mawaziri hili mnalikumbuka kukiwa na msiba, kesho tu hata wewe Makamba utakua umesahau kwamba kuna mauti hasa mkiwa ndani ya ma VX ya walipa kodi huku mkitutimulia vumbi barabarani nanyi mkiwa kwenye full viyoyozi. Mnatoaga maamuzi bila kujali kama yataathiri maisha ya mtu wa kipato cha chini. Hivi wewe Makamba kweli huu ni mwaka wako wa ngapi kama mbunge hadi waziri umeshindwa kabisa kutatua tatizo la kiwanda cha chai cha MPONDE NA TATIZO LA PLASTIK BAGS. ???