Kwako mbunge wa jimbo la Ukonga

Kwako mbunge wa jimbo la Ukonga

GERMANY

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
65
Reaction score
21
Mh.Mbunge Ni matumaini yetu uumzima wa afya njema! Sisi wananchi wa Chanika Mjeule tunaomba kujengewa daraja kwenye bonde la kuelekea Kisarawe! Ni adha kubwa Sana tunaipata kipindi cha mvua! Watoto wanashindwa kuvuka kwenda Shule,watu wakubwa huvua nguo kwani maji hufika mpaka kiunoni!

Tunaomba utukumbuke kupata daraja Mh.Mbunge wetu! Ni hayo tu.
 
Jamaa hana masihara kwenye masuala ya muhimu kama haya...nadhani MWITA WAITARA ndio chaguo sahihi la wakazi wa Ukonga!
 
Back
Top Bottom