Mama lyampopo najutia kwa yote niliyokutendea,ni wiki ya pili sasa toka umeniacha na kutoroka wakati nikiwa nimejifunika gubigubi alfajiri ya kudamkia mnadani.
Mama lyampopo usomapo ujumbe tafadhal ni PM il tuyamalize,hakika nimemiss sana.Namba za simu ulibadilisha lakini kupitia sehem hii ambayo najua MMU ndiyo ugonjwa wako hivyo utaupata huu ujumbe.
Naombeni ushirikiano wa kumtafuta mama lyampopo,mama lyampopo ni mweusi,mfupi,anapendelea kuvaa gaun za mtumba,pia anamagaga katika mguu wake wa kushoto,hizo ni baadhi ya sifa zake hivyo mkimwona mnijuze wanajamvi
NB;mama lyampopo ni jina linalofahamika kwangu tu na yey mwenyewe