Proud Patriot
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 224
- 10
hii kitu ni ya mm aliimba wakati ule wameuza ufukwe wa coco kwa manji!
Nina audio yake na ni ringtone kwenye simu yangu!
Hii hapa nilishawhi kuiweka humu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/141210-mjomba-wee-mjombaa.html jichukulie ukasikilize na uweke kwenye simu yako kama mimi.
busted!!