Chaimaharage
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 211
- 78
Benno ni mtu wa aina ya " sizitaki mbichi hizi".
Sijakuelewa mkuu, Una maana MILLYA siyo kama NAPE NA MALISA na kwa maana hiyo karibuni atakwaa ulaji ndani ya Chama? je ni kweli kwamba MILLYA si gamba na kwa maana hiyo EL pia u msafi? duh! siasa bwana nooooooooma. Hivi siku NAPE na BENO wakitangaza kuhamia CDM na kupokelewa utafutia wapi ushududa wako huu kwa sababu nakumbuka CDM walimlaani sana MILLYA kuwa ni chanzo cha vurugu Arusha.Jana nimekuona kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku TBC1 ukitoa comments zako kuhusu kitendo cha aliye kuwa mwenyekiti wa UVCCM A-town Ndg.James Millya kujiondoa Magamba. Kauli uliyotoa ya kwamba falsafa ya kujivua gamba inaendelea ukieleza kuwa Millya alikuwa gamba kwa hiyo amepima na kujiondoa mwenyewe. Sasa nashindwa kuelewa kama kweli alikuwa gamba au la. Kauli yako inatofautiana na ya Mh.Mbowe ambapo yeye ameonyesha kuwa Bwana Millya wanamfahamu kwa muda mrefu na hana historia chafu kama mnavyotaka kutuaminisha. Kwa mtizamo huu ni wazi kuwa kwa tafsiri yenu mtu ni gamba iwapo ataonekana kuwa mshauri wa kukitaka chama kufuata misingi bora na ya haki katika utendaji wake na mengine mema yanayo fanana na hilo. Na ambao siyo magamba ni wale mafisadi walio kubuhu na kuonekana kupingwa na umma kwa ujumla wake. Watu hawa mmekuwa nao kwa muda mrefu pasipo kuwachukulia hatua yoyote.Hakika CDM hawawezi kutamka maneno yale iwapo mtu husika ni gamba halisia tofauti na tafsiri yenu. Nadhani time will tell ku justify kama kweli tuhuma zako juu ya Millya kuwa ni gamba ni za kweli. Sina wasi wasi kuwa aibu itakushikeni mbele ya safari. Na mimi pia napenda kutoa wito wangu kwa watu walio magamba ambao wanajiona safi na kukerwa na uchafu ulio kithiri humo tokeni. Tunawajua wamo wengi tu! ila hofu tu ndiyo inawaogofya kuchukua maamuzi. Ila najua muda utafika watatoka.Lakini katika hili napenda kutoa angalizo; wale wote wenye nia halisi ya kutaka mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi katika nchi hii ili kufikia ukombozi wa kweli wafanye sasa. Watakapo taka kujiondoa huko waliko kipindi cha chaguzi ndogo na mkuu tutakuwa na mashaka dhidi ya dhamira yao. watakapo enguana katika chaguzi za ndani kisha kukimbia hao siyo wana mageuzi halisia bali ni wachumia tumbo wenye njaa kali na maslahi binafsi.Kwa kumalizia napenda kusema hivi; BENNO MALISA NA WENZIO KAMA VILE NAPE NI MAGAMBA HALISIA, HATA MKIJIVUA GAMBA HAMTO POKELEWA CDM KAMA MWENZENU. Iwapo mtapokelewa basi mtakaa kama miaka 10 mnasafishwa uozo ulio ndani yenu sababu sidhani kama fikra na mioyo yenu viko sawa na ni aibu kwa vijana kama ninyi kuwa na hivyo mlivyo na kutenda hayo mnayo tenda. Your future is vague. No light at the end of the tunnel.
Mkuu, hata Benno na Shigella pia wanakaribishwa ndani ya chama cha wazalendo CDM.anasusa lakini cdm wameshatwaa
Mkuu, hata Benno na Shigella pia wanakaribishwa ndani ya chama cha wazalendo CDM.
Upo sahihi mkuu. Kinachotakiwa ni Chadema kuwafanyia intensive character assessment wanachama wote wapya bila kuwasahau na hawa waliopo tayari ndani ya chama.Ninachokiona nilitaraji na nataraji wengine kibao japo wanaweza kuja kama maji ya mafuriko ambayo yana contain takataka za kila aina cdm kazi yake kuchambua tu kwa maana ya intelijensia ya cdm ifanye kazi ya ziada ili kama kuna wanaokuja kwa maana ya kubomoa watiwe adabu mapema.. maana tusifurahie tu watu kuja bali tuangalie mbinu ni nyingi sana za kutokomeza mapinduzi ya kweli yanayoletwa na cdm. kusema kweli ccm hawataki tuamke ili watutafune wanavyotaka wenyewe. ukisema ukweli wa jambo lolote wewe ni adui hata kuuwawa si ajabu wala jambo kubwa.. nasisistiza umakini..
Jana nimekuona kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku TBC1 ukitoa comments zako kuhusu kitendo cha aliye kuwa mwenyekiti wa UVCCM A-town Ndg.James Millya kujiondoa Magamba. Kauli uliyotoa ya kwamba falsafa ya kujivua gamba inaendelea ukieleza kuwa Millya alikuwa gamba kwa hiyo amepima na kujiondoa mwenyewe. Sasa nashindwa kuelewa kama kweli alikuwa gamba au la. Kauli yako inatofautiana na ya Mh.Mbowe ambapo yeye ameonyesha kuwa Bwana Millya wanamfahamu kwa muda mrefu na hana historia chafu kama mnavyotaka kutuaminisha.
Kwa mtizamo huu ni wazi kuwa kwa tafsiri yenu mtu ni gamba iwapo ataonekana kuwa mshauri wa kukitaka chama kufuata misingi bora na ya haki katika utendaji wake na mengine mema yanayo fanana na hilo. Na ambao siyo magamba ni wale mafisadi walio kubuhu na kuonekana kupingwa na umma kwa ujumla wake. Watu hawa mmekuwa nao kwa muda mrefu pasipo kuwachukulia hatua yoyote.Hakika CDM hawawezi kutamka maneno yale iwapo mtu husika ni gamba halisia tofauti na tafsiri yenu. Nadhani time will tell ku justify kama kweli tuhuma zako juu ya Millya kuwa ni gamba ni za kweli. Sina wasi wasi kuwa aibu itakushikeni mbele ya safari.
Na mimi pia napenda kutoa wito wangu kwa watu walio magamba ambao wanajiona safi na kukerwa na uchafu ulio kithiri humo tokeni. Tunawajua wamo wengi tu! ila hofu tu ndiyo inawaogofya kuchukua maamuzi. Ila najua muda utafika watatoka.Lakini katika hili napenda kutoa angalizo; wale wote wenye nia halisi ya kutaka mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi katika nchi hii ili kufikia ukombozi wa kweli wafanye sasa. Watakapo taka kujiondoa huko waliko kipindi cha chaguzi ndogo na mkuu tutakuwa na mashaka dhidi ya dhamira yao. watakapo enguana katika chaguzi za ndani kisha kukimbia hao siyo wana mageuzi halisia bali ni wachumia tumbo wenye njaa kali na maslahi binafsi.
Kwa kumalizia napenda kusema hivi; BENNO MALISA NA WENZIO KAMA VILE NAPE NI MAGAMBA HALISIA, HATA MKIJIVUA GAMBA HAMTO POKELEWA CDM KAMA MWENZENU. Iwapo mtapokelewa basi mtakaa kama miaka 10 mnasafishwa uozo ulio ndani yenu sababu sidhani kama fikra na mioyo yenu viko sawa na ni aibu kwa vijana kama ninyi kuwa na hivyo mlivyo na kutenda hayo mnayo tenda. Your future is vague. No light at the end of the tunnel.
Aliyeongea sio BENNO ni comred REUBEN MARTIN SHIGELA, Katibu Mkuu UVCCM Taifa. Namfahamu sana huyu kijana, nilisoma naye, nafahamu udhaifu wake, hivi karibuni naye atatangazwa kuwa GAMBA, atavuliwa asipojivua mwenyewe.
Upo sahihi mkuu. Kinachotakiwa ni Chadema kuwafanyia intensive character assessment wanachama wote wapya bila kuwasahau na hawa waliopo tayari ndani ya chama.
MILLYA SIKU HZ UNATUMIA HII ID??UMEENDelEA SANA MKUU