Mhongo jembe!Piga Kazi
musoma vijijini umeme mda wowote utaanza kuwaka kila kitu nadhani kipo tayar kwa hili nakupa 5. wananchi wa hapa wanafalijika kwa hili.
huo ndiyo utendaji na ndiyo kuwatumikia wananchi wako.sijali kuhusu kashfa nadhani naangalia kipi muhimu nakikubwa kwa sisi wananchi wa huku
nawasilisha
Mhongo jembe!Piga Kazi
Mtuambie basi amepewa kiasi gani mbona hamsemi? Waliopewa heLA wanafahamika mpaka na kiasi walichokula. Acheni wivu wa kike...
Hakuna wazir alieitendea wizara ya nishat na madin kama huyo Sos Muhongo,,,,, haters mkapuuuu matukiti
..muhongo jiadhari na waswahili....wabaya.musoma vijijini umeme mda wowote utaanza kuwaka kila kitu nadhani kipo tayar kwa hili nakupa 5. wananchi wa hapa wanafalijika kwa hili.
huo ndiyo utendaji na ndiyo kuwatumikia wananchi wako.sijali kuhusu kashfa nadhani naangalia kipi muhimu nakikubwa kwa sisi wananchi wa huku
nawasilisha
Hakuna wazir alieitendea wizara ya nishat na madin kama huyo Sos Muhongo,,,,, haters mkapuuuu matukiti
Mhongo hardworking man forever ever ...40% watanzania wana umeme within 4yrs, very fantastic.
Wewe ni chizi fresh, muanzilishi wa mpango wa umeme vijijini ni Ngeleja, hela zote tunakatwa kwenye mafuta na luku na wanaosimamia mradi ni Tanesco. Sifa mnazompa huyo Muhongo na hata mkate viuno namna gani haitasaidia maana lazima atoswe, then mtaona kama umeme vijiji hautawashwa