Kwahili CHADEMA Kibaha mmetuzingua na mtaangukia pua

Sasa huyo mtu wenu wa kibaha kawasaidia nini? Inawezekana wananchi wa kibaha wamevutiwa na sera za huyo jamaa,Chagua sera za mtu na usiangalie sura....Sifa moja ni kuwa mtanzania na si kuwa mzaliwa wa ilo eneo.
 
Dr. Michael mtally mgombea wa chadema ana nyumba miembe saba hapa kibaha. Una lingine
 
Mfumo Ccm umedumaza sana akili za watu.

Kiongozi bora ni yule anayeshirikisha wananchi katika kupanga, kusimamia na kutekeleza mipango ya maendeleo. Huko ndiko matatizo na vipaumbele vya maeneo husika vitatambuliwa na kuwekewa mikakati.

Watu wamezoea kuchagua watu wanao ahidi majukwaani.

Tubadilike, kiongozi si lazima awe amekaa nanyi muda mrefu. Muhimu ni awe kiongozi bora.
 
Back
Top Bottom