Wala tusijuane,toka hapo
hatujuani , nasema kwaherini ,naondoka tena,kurudi ni majaliwa ,labda
baada ya miaka mingine kupita.
Wake niliowakosea nawaomba samahani sanasana ,huwezi kujua ! Lengo si
kumkosea mtu ,na pia nawashukulu wale waliotoa elimu yao nao nawapa
hongera wawe na moyo huohuo wasifanye ubahili kwa yale wanayoyajua.
:rapture: