BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,041
Hongera sana RUDI nyumbani KUMENOGA.Huu mtandao sasa basi, unatia kichefuchefu hadi kutapika. Kwao wateja si watu wa kuthaminiwa tena. Wameshiba utajiri waliochuma kwa wateja wanaowadharau na kuwapuuza. Unaripoti tatizo kwao (customer care) halitatuliwi.
Baadhi ya kero za TIGO Mobile:
1. Unalipia kifurushi (data au muda wa maongezi) pesa wanachukua lakini kifurushi inachukua muda zaidi ya masaa 24 bila kupata, uliwapigia customer care unaambiwa 'endelea kusubiri'.
2. Hawatoi ushirikiano kwa wateja wao wanaoibiwa pesa zao wanapoomba msaada.
3. Kuwatumia meseji za promotion mbalimbali wateja wao wasiopenda matangazo yao. Mteja anapowalalamikia anajibiwa 'tuma meseji ya kujiondoa'. Huu ni ujinga, unamwambiaje mtu ajiondoe kwenye huduma ambayo hakujiunga bali mlimuunganisha wenyewe pasipo consent yake?
4. Network hafifu, nk.
Mimi nasema basi, TIGO kwaheri!
nina laini yao kwa zaidi ya miaka kumi....kwanza wakanitoa ktk kifurushi cha UNIVERSITY nikwapigia wakaniambia kuna kipya kimekuja hicho kipya kumbe ilikuwa ni kipindi cha mpito cha kuniibia pesa zangu....yaaani unajiunga 2500 halafu wanakupangia dkka za mchana na usiku nikawapigia koz sikuelewa mwanzo....Huu mtandao sasa basi, unatia kichefuchefu hadi kutapika. Kwao wateja si watu wa kuthaminiwa tena. Wameshiba utajiri waliochuma kwa wateja wanaowadharau na kuwapuuza. Unaripoti tatizo kwao (customer care) halitatuliwi.
Baadhi ya kero za TIGO Mobile:
1. Unalipia kifurushi (data au muda wa maongezi) pesa wanachukua lakini kifurushi inachukua muda zaidi ya masaa 24 bila kupata, ukiwapigia customer care unaambiwa 'endelea kusubiri'.
2. Hawatoi ushirikiano kwa wateja wao wanaoibiwa pesa zao wanapoomba msaada.
3. Kuwatumia meseji za promotion mbalimbali wateja wao wasiopenda matangazo yao. Mteja anapowalalamikia anajibiwa 'tuma meseji ya kujiondoa'. Huu ni ujinga, unamwambiaje mtu ajiondoe kwenye huduma ambayo hakujiunga bali mlimuunganisha wenyewe pasipo consent yake?
4. Network hafifu, nk.
Mimi nasema basi, TIGO kwaheri!
Ni kweli. Tangu jana saa 5 usiku hadi sasa hakuna customer care.
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππππππππππππππππππππHiyo sio shida sana, shida ni pale tigo wanajua mpenzi wako anachat na nani ila kwako busy kukuita ndugu mteja kifurushi chako kiimeisha ongeza salioππ
HAPPY NEW YEAR JF MEMBERS.