Kwaheri Mbowe katika CHADEMA

Hiki chama cha wachaga, kimekaa kidikteta sana.

Ukihoji jambo lazima uitwe buku7, msaliti au umetumwa na ccm !! .


Juzi mbunge machachari Nassari ametangaza kuikubali kasi ya Magufuli tayari ameitwa msaliti wa saccos.


Laana ya kula rambi rambi inawatesa sana mpaka mnaropoka ropoka tu.
 
Kila kitu na wakati wake chini ya jua. ..
 
Kuna umuhimu mkubwa sana wa mbowe kukaa pembeni

Ni jambo la msingi tu ili kuifanya chadema iweze kuwa mpya

Mbowe amefanya kazi kubwa sana...lakini angekaa pembeni abaki kushauri

Umakini mkubwa sana pia unatakiwa katika kumpata successor wake....Uimara wa CHADEMA siku zote umekuwa ni kwa sababu ya uimara wa Mwenyekiti...Mbowe is strong...kwa hiyo kuna uhitaji wa kupata strong character kuchukua nafasi yake

There comes an issue of a living sucession planning.....
 
.....
.....aiseeh una muda wa kuchezea
CCM na sheikh yahay ni ndugu wa damu.Huwa wananzisha umbea kisha wanakuta fanya juhudi za kutekeleza.Soon watakuja na katiba yao ambayo watawapa mamluki wao,waanzishe nayo fujo.
 
aende tu maana hata ofisi ya makao makuu kashindwa kujenga kazi kuanzisha operations ambazo wanakula hela tu na hazina manufaa
Kwani ccm imejenga lini ofisi kwa pesa ya ruzuku
 
Mbowe ameuwa chama, mbowe ni bonge la mafia wa kisiasa. Ameitumia cdm kufanya biashara. Mbowe ameinyonya cdm vya kutosha. Ameikopesha cdm na kujilipa kwa riba anayoijua yeye. Mbowe ndo afisa manunuzi wa chama. Mbowe ameharibu Furaha ya wapenda democrasia wote duniani. Mbowe hana huruma wala ubinadamu mbele ya fedha. Kama sio kusaidiwa na ccm wenzake mbowe ilitakiwa afikishwe mahakamani kujibu tuhuma za wizi kwa muda alioinyonya cdm. Mbowe nakushauri urudishe walau hata 1% ya wizi ulioufanya cdm, bila ya hivyo utalaaaniwa na mwisho wako utakuwa mbaya
 
Ha ha ha kumbe madikteta wako wengi hivi, me nilikuwa namfahamu mmoja ambaye ana Phd lakini hawezi kuongea kiingereza. Asante kwa kutujuvya.
Ah a aa a a aa a aa. Yupi huyo mbona mimi simjui?????
 
Dah!
 
Mbowe akistaafu nafasi ya mwenyekiti nitampongeza sana

Ni wakati wa damu mpya sasa si mbowe wala Lowassa...

Mbowe Kazi aliyoifanya ni kubwa anatakiwa pia kupumzika maana hata imemsababishia misuko suko mingi....


Mkuu naomba nikuulize tena kwani lowassa alikufanya nini?
 
Duhhh masisiemu MBOWE kawakoroga ubongo mpaka hamjitambui itafikia hatua mtaandamana mkidai ajiuzuru ili mpate kupumua na bado KATA FUNUA inawahusu
 
Kumbe ndio maana SAA Tisa akajiteka ili kujiongezea credits kurithi kiti? No wonder mzee wa elimu ya hapa na pale kashtukia dili na kumlipua SAA Tisa!
 

Ndiyo sababu DARASA amesema kama huna brake kwanini uende kasi?Naomba ukalale uote ndoto siye tupo macho tukiwasubiria wanga kama nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…