hapa utarudi tu ..kwan heslib wamekupa pesa ya miaka yote utakayosoma shule? Huju anytime wanaweza kukupa pesa nusu hahah boy ndio umeingia tu kwenye matatizo usije ukafikiri kuwa umeingia kwenye raha
inasikitisha sana kuona mtu amesaidiwa then anakimbia, je wale watakao kuja na shida watasaidiwa na nani kama tukikimbia sote??
anyway ni maamuzu yako, wewe nenda ukipata shida rudi tu utasaidiwa.
Mkirua hawa wanafunzi wangu wananisikitisha sana. Nataman kujua alisoma wapi manake waweza kukuta ni mwanafunzi wangu kabisa si kututia aibu waalim wake jamani. Baba V na snowhite oneni tunavyodhalilika kwa kushindwa kuwapa maarifa hawa vijana.

My dear wala msijilaumu kwani ivi kila kitu lazima ufundishwe na walimu wako?? Kama jibu ndio je ni yote tunayakumbuka na kuyatekeleza?? Mengine haya ni matumizi bora tu ya ubongo kuweza kujua kuwa elimu(jukwaa la elimu) ni pana na lina manufaa zaidi ya jinsi wanavyotaka kulifanya noticeboard ya TCU na HLSB.

ninachosikitikia mimi ni kuona kwamba wao walilenga kufaulu tu darasani kwenye mitihan ila si kuongeza uwezo wa akili zao kupambanua mambo. manake mwl yyte yule hawi kamili asipomfunza mwanafunzi kuweza kutafakari mambo kwa upana wake. na ndio maana mida mingine tunawapa uhuru wa kufikiri wenyewe pasi kuwasaidia.