Kwaheri jukwaa la elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwaheri jukwaa la elimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by pitbull, Sep 21, 2012.

 1. pitbull

  pitbull JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Baada ya ishu za tcu na helsb kupita sasa ni muda wangu wa kuhamia majukwaa mengine kwaherini wadau
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  hapa utarudi tu ..kwan heslib wamekupa pesa ya miaka yote utakayosoma shule? Huju anytime wanaweza kukupa pesa nusu hahah boy ndio umeingia tu kwenye matatizo usije ukafikiri kuwa umeingia kwenye raha
   
 3. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,868
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  We hama kaka, majukwaa mengine kama kawaida na hapa siwezi kuacha kuingia
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  inasikitisha sana kuona mtu amesaidiwa then anakimbia, je wale watakao kuja na shida watasaidiwa na nani kama tukikimbia sote??
  anyway ni maamuzu yako, wewe nenda ukipata shida rudi tu utasaidiwa.
   
 5. G

  Genius 1 Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madhal bado s2dent hapa n home so u wl b back! Ucsahau mwenda tenz na omo hurudia ngaman
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Shame upon you! yaani wewe kwako elimu ni kupata mkopo basi umemaliza? ama kweli hujaelimika wewe
   
 7. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha... Bora yeye kaaga, wengine wataondoka kimnyakimnya...
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkirua hawa wanafunzi wangu wananisikitisha sana. Nataman kujua alisoma wapi manake waweza kukuta ni mwanafunzi wangu kabisa si kututia aibu waalim wake jamani. Baba V na snowhite oneni tunavyodhalilika kwa kushindwa kuwapa maarifa hawa vijana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  My dear wala msijilaumu kwani ivi kila kitu lazima ufundishwe na walimu wako?? Kama jibu ndio je ni yote tunayakumbuka na kuyatekeleza?? Mengine haya ni matumizi bora tu ya ubongo kuweza kujua kuwa elimu(jukwaa la elimu) ni pana na lina manufaa zaidi ya jinsi wanavyotaka kulifanya noticeboard ya TCU na HLSB.
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  ninachosikitikia mimi ni kuona kwamba wao walilenga kufaulu tu darasani kwenye mitihan ila si kuongeza uwezo wa akili zao kupambanua mambo. manake mwl yyte yule hawi kamili asipomfunza mwanafunzi kuweza kutafakari mambo kwa upana wake. na ndio maana mida mingine tunawapa uhuru wa kufikiri wenyewe pasi kuwasaidia.
   
 11. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nimekunukuu na lazima urudi...na lazima nikukaribishe tena...yani hapa kuama labda jf ifungwe..au niwe sina bandle!!!
   
Loading...