Kwaheri Andres Iniesta

Sultan S. Abdallah

Verified Member
Dec 21, 2017
2,247
2,000
Hapa Nilipo Nimejawa Na Simanzi Nilipopata Taalifa Kuwa Andres Iniesta Hatachezea Tena Barcelona Kwani Amestaafu
Andres Iniesta Jana Amemaliza Kuichezea Clubuni Hapo Baada Ya Kuizaba Real Sociedad Bao 1-0 Mashabiki Walijawa Na Hisia Na Wachezaji Wote Wa Barca Walivaa Jezi Moja Ikiwa Imeandikwa Infinite Iniesta Ikimaanisha Iniesta Ni Shujaa Na Kisha Uwanja Ukawashwa Taa Za Kila Rangi Na Baadae Ukazimwa Pakawa Giza Na Kishwa Mashabiki Wakawasha Taa Za Simu Zao Na Kumuaga Andres Iniesta
GOOD BYE ANDRES INIESTA
 
Top Bottom